Udaku mtaa

Mwakifwamba: Uwoya sikio la kufa.

RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba amefungukia ishu ya msanii wa filamu Bongo ambaye pia ni mke wa mtu, Irene Uwoya kunaswa hotelini na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema mdada huyo ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa.RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba amefungukia ishu ya msanii wa filamu Bongo ambaye pia ni mke wa mtu, Irene Uwoya kunaswa hotelini na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema mdada huyo ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa. “Uwoya anatakiwa kujitambua kuwa ana nafasi gani katika jamii pia kwenye ndoa yake kwani maisha anayoishi siyo mazuri na yanatia aibu familia na tasnia nzima ya filamu hivyo abadilike,” alisema Mwakifwamba.

SIKU CHACHE BAADA YA KUZINDUA OFISI YAKE WATU WAPANGA NJAMA KUMTEKA WEMA SEPETU

Ikiwa ni siku chache tu baada ya kufungua ofisi yake "endless fame", iliyoko maeneo ya mwananyamala, jana usiku wema alipokea sim akitahadharishwa na msamalia mwema kuhusu kundi la watu waliokuwa wanamzungumzia kwa kumpangia njama ya kumteka, watu ambao walikua katika moja ya baa zilizoko Sinza inayopitwa Shkamoo pesa bar

"ni jana tu around jioni jioni hivi, nilipokea sim kutoka kwa msamaria mwema, akiniambia wema jihadhari, yaani baada tu ya kupokea hiyo sim, kwanza i was shoked halafu mwisho wa siku nikiona kama ma haters wanataka kunijaribisha, halafu mwisho wa siku kama vile hawawezi, maana hawajui how well am prepared......."
wherever they are trying to do, they should just understand that, wasije wakajikuta wao ndio wako in trouble, in deep shit, because naskia kuna jopo la watu wanataka kunivamia and its not right, kama mwenzako anafanikiwa muombee mema sio kumdidimiza...."amesema wema

 

0 maoni:

Chapisha Maoni

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More