Jumatano, 17 Aprili 2013

BI KIDUDE AFARIKI DUNIA



PIGO LINGINE! Bi Kidude amefariki dunia mapema leo saa 4 asubuhi nyumbani kwake Raha leo mjini Zanzibar. Mara kadhaa Bi kidude, ambaye amejipatia sifa na umaarufu ndani na nje ya nchi, amekuwa akizushiwa kifo kutokana na kuuguawa muda mrefu....taarifa zaidi za kifo chake endelea kufuatilia mtanda wako wa http://habaridar.blogspot.com/

0 maoni:

Chapisha Maoni

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More