Jumapili, 5 Mei 2013

Aliyemtumikia Gaddafi hakubaliki sasa

Libya imepitisha sheria itayopiga marufuku maafisa kutoka serikali ya hayati Kanali Gaddafi kushika wadhifa sasa.

Watu wenye silaha walizingira wizara mjini Tripoli
Walisema hawataondoka hapo hadi sheria hiyo ipitishwe.
Ilipokubaliwa walianza kusherehekea.
Sheria hiyo itawaathiri maafisa waandamizi wa serikali pamoja na waziri mkuu, Ali Zeidan.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More