Jumatatu, 13 Mei 2013

LWAKATARE KUENDELEA KUSOTA MAHABUSU BAADA YA KUKOSA DHAMANA



MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare, leo alishindwa kuwekewa dhamana wakati kesi yake ya kujaribu kumwekea sumu Dennis Msaki kufuatia kupatwa na dharura kwa hakimu aliyetakiwa kusikiliza kesi hiyo na kushindwa kuhudhuria mahakamani hapo. Lwakatare amerudishwa segerea na kesi yake imetajwa kurudishwa mahakamani hapo Mei 26 mwaka huu. Hata hivyo, akizungumza na GPL, wakili wa Lwakatare, Peter Kibatara alisema kuwa ataandika barua ya 'Remove Order' mahakamani hapo ili mteja wake aletwe mahakamani kabla ya tarehe tajwa.

0 maoni:

Chapisha Maoni

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More