Ijumaa, 3 Mei 2013

Rihanna ampa gari Chris Brown


 
Hollywood, Marekani
Msanii mahiri wa Marekani, Rihanna amemnunulia gari la kifahari aina ya ‘2009 Mercedes –Benz SLR Stirling Moss’ mpenzi wake wa zamani Chris Brown lenye thamani ya pauni 700,000, sawa na Shilingi 1.7 bilioni  za Kitanzania.
Gari hilo ni zawadi kwa ajili ya sikukuu ya kuzaliwa kwa mwanamuziki huyo ambapo anatimiza miaka 24 siku ya Jumamosi,  Mei 4.
Katika kutofautisha gari hilo alilotoa zawadi na mengine, magari hayo yametengenezwa 75 tu duniani na miongoni mwa watu watakaopata bahati ya kulitumia gari hilo ni pamoja na Brow

0 maoni:

Chapisha Maoni

Share

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More