skip to main |
skip to sidebar
03:09
Unknown
Nanukuu ‘Freemasons wa Tanzania?
Waliojitokeza waziwazi na kujitambulisha ni kina Chande “Andy Chande”
ambao ni matajiri wafanyabiashara maarufu. Katika mahojiano aliyofanya
na mwandishi Muhiddin Michuzi wa gazeti la Sunday News la tarehe 3 April
2005, Sir Andy Chande alikiri kuwa anao wanachama zaidi ya 3,000 (yeye
mwenyewe ni District Grand Master), na kuwa wamekuwa wakishirikiana na
Rais Yoweri Museveni, Makamu wa Rais wa Kenya Moody Awori, na Rais
Mstaafu Ben Mkapa (hakutaka kutamka wazi kuwa ni wanachama, lakini wapo
watu wengine wanaofahamu kuwa hao aliowataja ni wanachama wa hiyo kitu,
pamoja na Mzee Mengi). Alitamka kuwa mtu yeyote akishajiunga na
freemasonry hawezi kutoka tena, kwa maneno yake “Once a freemason,
always a freemason”.
Tazama jibu la Sir Andy Chande
alipoulizwa na Muhiddin Michuzi kuhusu yalipo makao makuu ya Freemasons
nchini Tanzania: “It is located along Sokoine Drive, just behind the
Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam. We have a licence to sell drinks to
members; we have also been exempted by the government of Tanzania from
registration We have the full blessings of the government. Once that
building was about to be taken over for public purpose, but when I sent a
memorandum to the State House, we got it back. You know, Mwalimu Julius
Nyerere was not a Freemason, but he knew what Freemasonry is”.
Posted in:
2 maoni:
shindwaa kbs
shindwaaaaah
Chapisha Maoni